Ufafanuzi wa shaua katika Kiswahili

shaua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~liwa

 • 1

  -pa sifa au utukufu.

  ‘Amemshaua mpaka sasa amekuwa hajali mtu’
  sifu, tukuza

 • 2

  kuwa na maringo.

  ‘Apendwaye akijua haachi kujishaua’
  ringa

Asili

Kar

Matamshi

shaua

/∫awuwa/