Ufafanuzi wa shaunge katika Kiswahili

shaunge

nomino

  • 1

    maua ya mti wa jamii ya msanapiti yaliyo makubwa, marefu na yenye harufu kali.

Matamshi

shaunge

/∫awungɛ/