Ufafanuzi wa sheria za mila katika Kiswahili

sheria za mila

  • 1

    kanuni zinazoendesha taratibu za jamii au kabila fulani, agh. hutumika ili kuleta suluhu badala ya kutoa adhabu.