Ufafanuzi wa shika katika Kiswahili

shika

kitenzi elekezi

 • 1

  tia kitu au mtu mkononi.

  ‘Shika kalamu hii’
  ‘Askari amemshika mwizi’
  kamata, gwia, kota, bwia

 • 2

  nata, ganda