Ufafanuzi wa shindana katika Kiswahili

shindana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pimana nguvu, uwezo, uhodari, usogora, n.k..

    pambana, kabiliana, chuana

  • 2

    bisha

Matamshi

shindana

/∫indana/