Ufafanuzi wa shindwa katika Kiswahili

shindwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa kufanikiwa katika jambo.

    anguka, feli

Matamshi

shindwa

/∫indwa/