Ufafanuzi wa shokishoki katika Kiswahili

shokishoki

nominoPlural mashokishoki

  • 1

    tunda jekundu lililofunikwa na vitu kama miba laini, lenye kokwa iliyozungukwa na nyamanyama laini iliyo tamu na ambalo huliwa bila ya kupikwa.

  • 2

    tunda la mshokishoki.

Matamshi

shokishoki

/∫ɔki∫ɔki/