Ufafanuzi wa shufaa katika Kiswahili

shufaa, shifaa

nomino

  • 1

    msamaha anaopata mtu baada ya kutenda makosa na kuomba asamehewe.

  • 2

    ‘Mgonjwa leo amepata shufaa kidogo’
    nafuu, afueni, hujambo

Asili

Kar