Ufafanuzi wa shujaa katika Kiswahili

shujaa

nominoPlural mashujaa

  • 1

    mtu mwenye moyo thabiti anayeweza kukabili mambo, hata kama ni ya hatari.

    methali ‘Kwa mwoga huenda kicheko, kwa shujaa huenda kilio’
    jasiri, nguli, jogoo, chuma, jabari, abtali, ghazi, nyamaume, jagina

Asili

Kar

Matamshi

shujaa

/∫uʄa:/