Ufafanuzi wa shukia katika Kiswahili

shukia

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    teremka mahali fulani kutoka kwenye chombo k.v. basi, ndege au meli.

  • 2

    teremkia

Matamshi

shukia

/∫ukija/