Ufafanuzi wa shuku katika Kiswahili

shuku

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na wasiwasi juu ya jambo au mtu bila ya kuwa na hakika; tia shaka.

    dhani, tuhumu

Asili

Kar

Matamshi

shuku

/∫uku/