Ufafanuzi wa shusha katika Kiswahili

shusha

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    toa kitu kutoka juu kuja chini k.v. mzigo.

    ‘Shusha mzigo’
    teremsha

  • 2

    toa manii.

Matamshi

shusha

/∫u∫a/