Ufafanuzi wa shushu katika Kiswahili

shushu

nominoPlural mashushu

  • 1

    ganda la juu la tunda au nafaka.

    ‘Shushu la ndizi’
    ‘Shushu la mpunga’

Matamshi

shushu

/∫u∫u/