Ufafanuzi wa siborio katika Kiswahili

siborio

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    kikombe maalumu kinachotumika kanisani kutilia hostia.

Asili

Kla

Matamshi

siborio

/sibɔrijɔ/