Ufafanuzi wa sifongo katika Kiswahili

sifongo

nominoPlural sifongo

  • 1

    kitu laini kama mayavuyavu chenye tundutundu na kinachofyonza vitu viowevu k.v. maji au mafuta au ambacho hutumika sana kusugulia mwili wakati wa kuoga.

    sponji

Asili

Kar

Matamshi

sifongo

/sifɔngɔ/