Ufafanuzi wa sifu katika Kiswahili

sifu

kitenzi elekezi

  • 1

    eleza hali ya uzuri wa jambo, kitu au mtu.

    shaua, tukuza

Matamshi

sifu

/sifu/