Ufafanuzi wa sikilizana katika Kiswahili

sikilizana

kitenzi sielekezi

  • 1

    elewana na kubaliana, agh. katika mambo mbalimbali.

Matamshi

sikilizana

/sikilizana/