Ufafanuzi wa sikio katika Kiswahili

sikio

nomino

  • 1

    kiungo cha mwili wa kiumbe kinachotumika kwa kupokelea mawimbi ya sauti na kuyapeleka akilini.

Matamshi

sikio

/sikijÉ”/