Ufafanuzi wa silia katika Kiswahili

silia

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~wa

  • 1

    achia mtu kitu au mtoto ili akutunzie wakati mwenyewe hauko.

    ‘Mimi nasafiri, nakusilia mwanangu mpaka nitakaporudi’

Matamshi

silia

/silija/