Ufafanuzi wa silingi katika Kiswahili

silingi

nomino

  • 1

    ukambaa wa chuma ulioko katika winchi.

Asili

Kng

Matamshi

silingi

/silingi/