Ufafanuzi wa simulia katika Kiswahili

simulia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    toa maelezo juu ya tukio fulani.

    tamba, hadithia, hubiri, elezea

Asili

Kar

Matamshi

simulia

/simulija/