Ufafanuzi msingi wa sindika katika Kiswahili

: sindika1sindika2

sindika1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~wa, ~iwa

  • 1

    saga na kamua mbegu au tunda la mti au mmea fulani ili kutoa umajimaji uliomo katika kitu hicho.

    ‘Sindika mafuta’

Matamshi

sindika

/sindika/

Ufafanuzi msingi wa sindika katika Kiswahili

: sindika1sindika2

sindika2 , shindika

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~wa, ~iwa

  • 1

    funga k.v. mlango au dirisha bila ya kutia komeo au tumbuu wala kubana.

    vugaza

Matamshi

sindika

/sindika/