Ufafanuzi wa sinya katika Kiswahili

sinya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~iwa, ~iza, ~wa

  • 1

    kosa kupenda au kufurahikia jambo, kitu au mtu.

  • 2

    chukia

Matamshi

sinya

/siɲa/