Ufafanuzi wa siriba katika Kiswahili

siriba

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~wa

  • 1

    fanya ukuta, sakafu au dari kuwa na wororo kwa kupaka udongo na simenti teketeke na kusawazisha kwa mkono au mwiko.

    taliza, ziba

  • 2

    tapakaza kitu cha majimaji kwenye kitu kingine.

    ‘Amemsiriba mwenzake tope mwili mzima’

Matamshi

siriba

/siriba/