Ufafanuzi wa sketi katika Kiswahili

sketi

nominoPlural sketi

  • 1

    vazi la kike linalofunika mwili kuanzia kiunoni agh. hadi magotini.

Asili

Kng

Matamshi

sketi

/skɛti/