Ufafanuzi wa sokomeza katika Kiswahili

sokomeza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    shindilia kitu kwa nguvu katika nafasi ndogo.

    chokomeza

Matamshi

sokomeza

/sɔkɔmɛza/