Ufafanuzi msingi wa sokota katika Kiswahili

: sokota1sokota2

sokota1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  zongomeza nyuzi kwa kuzitia kasi ili kupata kamba.

 • 2

  fanya duara kwa kuzingirisha kitu.

Matamshi

sokota

/sɔkɔta/

Ufafanuzi msingi wa sokota katika Kiswahili

: sokota1sokota2

sokota2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  uma kwa kunyonganyonga k.v. tumbo lifanyavyo.

  ‘Tumbo linanisokota’

Matamshi

sokota

/sɔkɔta/