Ufafanuzi wa sokwe katika Kiswahili

sokwe

nomino

  • 1

    mnyama jamii ya nyani asiyekuwa na mkia.

Matamshi

sokwe

/sɔkwɛ/