Ufafanuzi wa songoa katika Kiswahili

songoa

kitenzi elekezi

  • 1

    kamua kwa kusokota, k.v. shingo ya kuku, kwa mkono.

  • 2

    nyonga, popotoa, babadua, songa