Ufafanuzi wa spanaboi katika Kiswahili

spanaboi

nomino

  • 1

    mtu ambaye ni msaidizi wa makanika.

Asili

Kng

Matamshi

spanaboi

/spanabɔji/