Ufafanuzi wa spidi katika Kiswahili

spidi

nominoPlural spidi

  • 1

    mwendo wa chombo k.v. gari, baiskeli au meli.

    kasi

Asili

Kng

Matamshi

spidi

/spidi/