Ufafanuzi wa springi katika Kiswahili

springi

nominoPlural springi

  • 1

    waya wa chuma uliozungushwa kwa mzingo na unaonesa na ambao huwekwa kwenye vitu k.v. makochi, vitanda au kwenye baadhi ya kalamu.

  • 2

    vyuma vinavyonesa vilivyo bapa au vilivyozungushwa kwa mizingo, agh. hufungwa chini ya gari ili kuzuia au kupunguza mititigo.

Asili

Kng

Matamshi

springi

/springi/