Ufafanuzi wa staafisha katika Kiswahili

staafisha

kitenzi sielekezi

  • 1

    pumzisha mtu kazi baada ya kutimiza umri uliowekwa rasmi.

Asili

Kar

Matamshi

staafisha

/staa:fi∫a/