Ufafanuzi wa staarabika katika Kiswahili

staarabika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa na vitendo, tabia na mwenendo unaolingana na maadili ya jamii inayohusika.

Asili

Kar

Matamshi

staarabika

/sta:rabika/