Ufafanuzi wa staarabisha katika Kiswahili

staarabisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu awe na tabia njema.

Matamshi

staarabisha

/sta:rabiāˆ«a/