Ufafanuzi wa stawisha katika Kiswahili

stawisha, sitawisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya jambo liendelee vizuri na kupata mashiko.

    imarisha, amirisha, auka, endeleza

  • 2

    panda mazao katika eneo fulani.

Asili

Kar