Ufafanuzi wa stetheskopu katika Kiswahili

stetheskopu

nominoPlural stetheskopu

  • 1

    kifaa cha utabibu cha kusikilizia mapigo ya moyo na upumuo wa mapafu ya mgonjwa.

    kipimamwili

Asili

Kng

Matamshi

stetheskopu

/stɛθɛskɔpu/