Ufafanuzi msingi wa stihizai katika Kiswahili

: stihizai1stihizai2

stihizai1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fanyia mzaha wa dharau.

  kejeli

Ufafanuzi msingi wa stihizai katika Kiswahili

: stihizai1stihizai2

stihizai2

nominoPlural stihizai

 • 1

  maneno anayoambiwa mtu kwa utani kwa madhumuni ya kumdharau.

  ‘Fanyia stihizai’
  kinaya, kejeli, chuni

Asili

Kar

Matamshi

stihizai

/stihizaji/