Ufafanuzi wa sufi katika Kiswahili

sufi

nominoPlural sufi

  • 1

    kitu kama pamba kinachotokana na tunda la msufi kinachoweza kutiwa katika magodoro na mito.

Asili

Kar

Matamshi

sufi

/sufi/