Ufafanuzi wa sukumawiki katika Kiswahili

sukumawiki

nominoPlural sukumawiki

  • 1

    mboga ya majani mapana yanayojitandaza inayostawi karibu kila mahali, hukua haraka na bei yake ni nafuu.

Matamshi

sukumawiki

/sukumawiki/