Ufafanuzi wa suna katika Kiswahili

suna

nominoPlural suna

  • 1

    Kidini
    jambo au kitendo katika dini ya Uislamu ambacho kikitendwa, mtendaji hupata thawabu na asipokitenda, hapati dhambi.

  • 2

    kitendo cha hiari cha thawabu; kinyume cha faradhi.

Asili

Kar

Matamshi

suna

/suna/