Ufafanuzi wa sungua katika Kiswahili

sungua

kitenzi elekezi

  • 1

    kusanya takataka za nafaka k.v. mchele au mahindi wakati wa kupeta na kuzitupia nje.

Matamshi

sungua

/sunguwa/