Ufafanuzi wa surupwenye katika Kiswahili

surupwenye, msurupwenye

nominoPlural masurupwenye

  • 1

    suruali iliyo pana na kubwa kuliko mwili wa aliyeivaa.

  • 2

    vazi lililounganishwa shati na suruali na linalovaliwa juu ya nguo za kawaida ili kuzuia zisichafuke wakati wa kufanya kazi k.v. za umakanika.

    ovaroli, bwelasuti

Matamshi

surupwenye

/surupwɛɲɛ/