Ufafanuzi wa susurika katika Kiswahili

susurika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    enda huku na huko bila ya kazi maalumu.

    zurura, shaja, tanga, tembeatembea

Matamshi

susurika

/susurika/