Ufafanuzi wa suuza katika Kiswahili

suuza

kitenzi elekezi

  • 1

    safisha kwa maji safi kwa mara ya mwisho k.v. mwili au nguo iliyofuliwa, ili kuondoa povu au uchafu uliobakia.

Matamshi

suuza

/su:za/