Ufafanuzi wa taabani katika Kiswahili

taabani

kielezi

  • 1

    bila ya kuwa na nguvu kwa sababu ya ugonjwa au kuchoka.

    ‘Hali yangu taabani’
    ‘Hoi bin taabani’
    hoi

Asili

Kar

Matamshi

taabani

/ta:bani/