Ufafanuzi wa taalaki katika Kiswahili

taalaki

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na fungamano na; shikamana na; ambatana na.

    ‘Jambo hili limetaalaki na mambo ya ushirikina’

Asili

Kar

Matamshi

taalaki

/ta:laki/