Ufafanuzi wa taataa katika Kiswahili

taataa

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya kushughulika au kuhangaika baada ya kufikwa na jambo baya ili kutafuta njia za kujitoa.

    hangaika, tapatapa, wayawaya, kukurika, payapaya, furukuta

Asili

Kar

Matamshi

taataa

/ta:ta:/