Ufafanuzi wa tabano katika Kiswahili

tabano

nominoPlural tabano

  • 1

    maneno maalumu yanayosemwa ili kumtakia mgonjwa nafuu katika uganga wa jadi.

Matamshi

tabano

/tabanɔ/