Ufafanuzi wa tabawali katika Kiswahili

tabawali

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda haja ndogo.

    kojoa, baua

Asili

Kar

Matamshi

tabawali

/tabawali/